Kibench : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibench''' ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabench. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kib...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:04, 25 Oktoba 2013

Kibench ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wabench. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kibench imehesabiwa kuwa watu 174,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibench kiko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibench kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.