Guantanamo Bay : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 197.250.192.19 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Mr Accountable
Mstari 8:
Ni pia jina la kituo cha kijeshi cha [[Marekani]] chenye eneo la 117,6 km² kilichopo kwenye kisiwa cha Kuba. Eneo hili lilikodishwa na Kuba kwa Marekani mwaka 1903 kwa muda wa miaka 99. Wakati ule Kuba ilitwaliwa na wanajeshi Wamarekani baada ya [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] ya 1898. Marekani ilidai kibali cha Kuba kwa utawala kwake juu ya Guantanamo Bay kama sharti kabla ya kuondoa jeshi lake.
 
Kwa sababu hiyo serikali ya Kuba ya mapinduzi ya 1958 haikutambua tena mapatano haya kwa sababu inadai KKuba ililazimishwa kijeshi kukubali.
 
===Matumizi ya kituo===
Marekani imejenga bandari ya kijeshi pamoja na uwanja wa ndege na huwa na kikosi cha askari 9,500. Kuna ukuta na fensi ya kutenganisha kituo na maeneo chini ya serikali ya Kuba.
 
===Kambi ya wafungwa maalumu tangu 2001===
Tangu mwaka 2001 kambi la wafungwa limejengwa kituoni lenye mnamno wafungwa 1,000 hasa kutoka Afghanistan waliokamatwa baada ya [[Shambulio la Kigaidi la 11 Septemba 2001|mashambulio ya kigaidi ya 11 Septemba 2001]] katika Marekani na vita katika [[Afghanistan]] iliyofuata. Marekani ilipeleka hapa watu waliokamatwa Afghanistan na penginepo duniani wanaoshtakiwa kuwa magaidi wa [[Al-Qaida]] au [[Taliban]] lakini ambao hawakuwa bado na kesi mbele ya mahakama.
 
Utaratibu huu ni nje ya sheria za Marekani na haulingani na sheria za kimataifa kuhusu kuwatendea wafungwa wa vitani.
 
Nchi nyingi dunani zimepinga kuwepo kwa makambi haya na kudai wafungwa watendewe ama kama wafungwa wa vita au kupelekwa mahakamani kama magaidi.
 
Mwaka 2007 ni bado zaidi ya wafungwa 500 kambini.
 
== Viungo vya Nje ==
* {{en}} [http://www.cnic.navy.mil/guantanamo/index.htm Officiële site U.S. Naval Base Guantánamo Bay]
 
 
{{mbegu-jio-Karibi}}
[[category:Kuba]]
[[Category:Marekani]]
 
[[ar:خليج جوانتانامو]]
[[be-x-old:Бухта Гуантанама]]
[[bg:Гуантанамо (залив)]]
[[da:Guantanamo Bay]]
[[de:Guantánamo-Bucht]]
[[en:Guantánamo Bay]]
[[eo:Golfo de Guantanamo]]
[[es:Bahía de Guantánamo]]
[[fi:Guantanamo Bay]]
[[he:מפרץ גואנטנמו]]
[[id:Teluk Guantánamo]]
[[it:Baia di Guantanamo]]
[[ja:グアンタナモ湾]]
[[ko:관타나모 만]]
[[nn:Guantánamo Bay]]
[[no:Guantánamo Bay]]
[[pl:Zatoka Guantánamo]]
[[pt:Baía de Guantánamo]]
[[simple:Guantánamo Bay]]
[[sv:Guantánamobasen]]
[[uk:Ґуантанамо (затока)]]
[[yi:גואנטאנאמע בעי]]
[[zh:关塔那摩湾]]