Mto Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nairobi_River.jpg|thumbnail|Mto Nairobi]]
'''Mto Nairobi''' ni mto unaopitia katika mji mkuu wa Kenya,[[Nairobi]]. Ndio mto mkuu katika ''Bakuli la mito la Nairobi'' , mtandao wa mito kadhaa inayopita sambamba kuelekea mashariki. Mito yote katika bakuli la mito ya Nairobi hukutana katika mashariki ya Nairobi na kuungana na [[Mto Athi]], hatimaye kuelekea [[Bahari ya Hindi]]. Mmingi ya mito hii ni miembamba na chafu sana. Mkondo kuu, Mto Nairobi, umeweka mpaka wa kaskazini mwa jiji. Mto huu umefanywa kanali katika sehemu zingine.