Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

d
d (fixing dead links)
d (The file Image:Jain_hand.svg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Fastily: ''commons:Commons:Deletion requests/File:Jain hand.svg''. ''Translate me!'')
 
====Ujaini====
 
[[File:Jain hand.svg|right|thumb|120px|Kiapo cha Kijaini cha Ahimsa. Gurudumu la dharmacakra linaashiria kujitolea kusitisha mzunguko wa kuzaliwa upya baada ya kifo kupitia ukweli na kusitisha vurugu.]]
 
Ujaini ni dini iliyoanza katika Uhindi ya kale, mfumo wake wa kimaadili unakuza nidhamu ya kibinafsi kushinda yote mengine. Kupitia kuyafuata mafundisho ya kujiepusha na anasa zote, ya ujaini, binadamu anapata kutaalamika (maarifa kamili). Ujaini unaugawanya ulimwengu katika viumbe vilivyohai na visivyohai. Wakati tu visivyohai vinavyoshikilia vyenye uhai ndipo mateso hutokea. Kwa hivyo, furaha ni matokeo ya utekaji-kibinafsi na uhuru kutoka kwa vitu vya nje. Maana ya maisha basi huweza kusemwa kuwa kutumia mwili unaoonekana kupata utambuzi wa kibinafsi na neema..<ref>Shah, Natubhai. ''Jainism: The World of Conquerors.'' Sussex Academic Press, 1998.</ref>