Wangindo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1570205 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Wangindo''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi upande wa Kusini wamwa Tanzania. Katika wilaya ya liwale mkoa wa lindi Lugha yao ni [[Kingindo]].
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
Mstari 8:
 
Wangindo walikuwa ni warusha mishale maarufu na wazuri na walitumiwa sana haswa na chifu mkwawa alipokuwa akipambana na wabena na wasangu.
Wangindo mbali ya kuishi kusini (liwale) mwa Tanzania, pia wameenea katika sehemu tofauti tofauti za nchi hii ikiwemo Zanzibar, Morogoro na Mbeya katika kijiji cha Rujewa ambapo inasemekana kijiji hicho walipewa na mkwawa baada ya kumsaidia katika vita