Yangtze (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5413 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{mto
| jina = Mto Yangtze ( Changjiang)
| picha = Yangtze River Map.png
| maelezo_ya_picha = Beseni ya Yangtze
Mstari 18:
 
[[Picha:Cn1202-03.jpg|right|thumb|350px|Pinde la kwanza la Yangtze katika jimbo la [[Yunnan]] ambako mto hugeukia 180° kutoka mwelekeo wa kusini kuelekea kaskazini]]
'''Mto Yangtze''' (''pia:'' '''Changjiang''') ni mto mkubwa nchini [[China]] na pia mto mrefu wa [[Asia]] yote. Duniani huhesabiwa kama mto mrefu wa tatu baada ya [[Amazonas]] na [[Naili]]).
 
Mwendo wake wote wa kilomita 6,300 pamoja na kilomita 2,800 zinazotumiwa na meli uko ndani ya China.