Nchi inayoendelea : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 46 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q177323 (translate me) |
+sahihisho dogo kulingana na ukumbusho kutoka kwa Ndugu ChriKo! |
||
Mstari 1:
[[Picha:Imf-advanced-un-least-developed-2008.svg|thumb|350px|
[[Picha:Newly industrialized countries.PNG|thumb|350px|Nchi
'''Nchi
Baadhi ya mashirika ya kimataifa kama [[Benki ya Dunia]] hutumia uainishaji wa kihesabu pekee. Benki ya Dunia huchukulia nchi zote zenye mapato ya chini na ya wastani kama "zinazostawi". Katika uainishaji wake wa hivi karibuni, uchumi wa nchi uligawanywa kwa kutumia Pato la Taifa la 2008 kwa kila mwananchi. Mwaka wa 2008, nchi Pato la Taifa kwa kila mwananchi chini ya US $ 11.905 zilihesabiwa kama zinazostawi<ref name="WB">{{Cite web | url = http://web.worldbank.org/WBSITE/EXTERNAL/DATASTATISTICS/0,,contentMDK:20420458~menuPK:64133156~pagePK:64133150~piPK:64133175~theSitePK:239419,00.html | title = Country Classification | work = [[Benki ya Dunia]] | accessdate = 20 Julai 2009}}</ref>. Taasisi nyingine hutumia fasili zisizokuwa maalumu sana.
|