Kisonono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q101896 (translate me)
Masahihisho
Mstari 1:
'''Kisonono''' au '''kisalisali''' ni [[maradhi ya zinaa]] ambayo husababishwa na [[bakteria]] zinazofahamika kisayansi kama ''Neisseria gonorrhoeae''. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozunguka [[sehemu za siri]].
 
Ingawa kwa makisio maambukizi 360,000 ya kisonono huripotiwa kila mwaka nchini [[Marekani]], wataalamu wamekisia kuwa watu karibia 650,000 huambukizwa kwa mwaka.
Mstari 7:
Kisonono huonekana kwa urahisi kwa wanaume ambao hutoa [[usaha]] kutoka katika mfereji wa mkojo (''urethra''). Huanza kidogo, lakini huongezeka na huwa mwingi na kusababisha kusikia haja ya kukojoa mara kwa mara huku kukiwa na maumivu.
 
Kisonono ikisambaa na kufikia ''[[prostatetezi kibofu]]'', mfereji wa mkojo huziba kwa kiasi fulani. Kwa wanawake maambuki hutokea katika [[urethra]], [[uke]] au [[mlango wa uzazi]] (''cervix''). Ingawa mwasho unaotokana na majimaji katika uke unaweza kuwa mkubwa, mara nyingi dalili hizi huwa ni chache au hamna kabisa katika hatua za awali.
 
Kisonono isiyotibiwa inaweza kusababisha PID kwa wanawake. Watoto wanaozaliwa na mama wenye kisonono huwa na hatari ya kuambukizwa wakati wa kuzaliwa; maambukizo haya yanaweza kusababisha magonjwa ya [[meno]] kwa wachanga.
Mstari 15:
Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa [[Marekani]] mnamo miaka ya [[1970]] na mwanzoni mwa miaka ya [[1980]], hadi kukaribia kufikia kiwango cha [[magonjwa ya mlipuko]] (''epidemic proportions'') kwa vijana wanaobalehe na watu wa [[umri wa kati]].
 
Kisonono hutibiwa kwa [[antibaotikiantibiotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
[[Jamii:Maradhi ya zinaa|Kisonono]]