Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Alifazal"

 
::Habari Ndugu Muddy. Asante sana kwa ujumbe yako. Ningependa ma-editor wengine wanisaidie kupanua maandishi haya. '''[[Mtumiaji:Alifazal|Ali Fazal]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Alifazal#top|majadiliano]])''' 14:14, 2 Mei 2013 (UTC)
 
== Wiki Indaba conference ==
 
Salaam, ndugu. Kuna mpango wa mkutano mjini Johannesburg mwezi wa pili mwakani, angalia http://wikiindaba.net/index.php?title=Main_Page - pia, umeombwa kujibu maswali yao kwenye tovuti la Google docs: https://docs.google.com/forms/d/1zEk6hw4IiQYVrdJGYphPhQHOQFi4wdOIXvzVj9vy_gU/viewform Asante kwa msaada wako. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 12:35, 4 Novemba 2013 (UTC)
62,394

edits