Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 6 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2995962 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Waha''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Kigoma]], pia mpakani na [[Burundi]]. Lugha yao ni [[Kiha]].
 
Nyongeza juuu ya Waha, Na Lewis Linus Willah, (E-mail address, willahlewis@yahoo.com), Kabila la Waha limetokana na mtawanyiko wa makabila ya Warundi Na Wa Haya, kipindi cha kuhamahama kwa ajili a kutafuta masilahi kama ile chakula na Vita. Baada ya kuika kandokando mwa ziwa Tananyika na maeneo yote yanayolizunuka Ziwa Tanganyika waliweza kukaa na kuanzisha shughuli mbalimbai kama vile kilimo, uvuvi, Ufugaji na Uwindaji.
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
Waha walipoanza kuyazoea mazingira, walijigamba na kujidai kwa makundi ya kikoo kuwa yana nguvu, kia moja kwa nafasi yake, na kila ukoo ulijigamba kwa kutumia majina ya wanyama, wadudu, ndege milima n.k, mfano, kuna waliokuwa wakijigamba kuwa wao ni WASHUBHI ambao walijulikana kwa mnyama ambaye ni Kondoo yaani wapole, Sisimizi(Chunguchungu) Walijigamba kama Wakulima, wengine kama konoo, kiboko, n.k, na walijulikana tabia zao kulingana na majina ya ukoo wao.
{{DEFAULTSORT:Ha}}
Kilimo cha Waha ni Mahindi, maharage, ndizi, kahawa, mhogo, karanga, mbaazi, njegere, viazi mviino, viazi vitamu, mtama, ulezi, mahore, miwa, mpunga,korosho,n.k
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
Pia Waha ni wavuvi wa samaki katika ziwa Tanganyika, mto Malagarasi, Mto Rwiche, Mto Mkoza, Na Mito minin midogomidogo kama vile, Nyajijima, Mresi, Kazingu, n.k
Waha ni wafugaji wa N'gombe, mbuzi, kuku, bata, Nguruwe, sunura, mbwa paka, n.k,
Biashara zao ni Mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida. Usafiri wao wa asili ilikuwa na Miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ambayo ni yakusadikika kuwa walitumia UNGO kusafilia kama ndege yao ya asili.
Utamaduni wao, yaani mavazi yao ilikuwa ni magome ya miti yaliyojulikana kama MPUZU,