Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
HISTORIA YA WAHA, BY LEWIS LINUS WILLAH, (willahlewis@yahoo.com)
Mstari 7:
Waha ni wafugaji wa N'gombe, mbuzi, kuku, bata, Nguruwe, sunura, mbwa paka, n.k,
Biashara zao ni Mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida. Usafiri wao wa asili ilikuwa na Miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ambayo ni yakusadikika kuwa walitumia UNGO kusafilia kama ndege yao ya asili.
Utamaduni wao, yaani mavazi yao ilikuwa ni magome ya miti yaliyojulikana kama MPUZU, na Nyumba zao ni za msonge, udongo na miti, kuingana na sehemu mbalimbali, mana kuna sehemu zenye joto kama vile nyanda za jini au bondeni, na sehemu zenye baridi kama vile nyanda zenye joto.