Waha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
HISTORIA YA WAHA, BY LEWIS LINUS WILLAH, (willahlewis@yahoo.com)
kusanifisha kidogo
Mstari 1:
'''Waha''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Kigoma]], pia mpakani na [[Burundi]]. Lugha yao ni [[Kiha]]
 
Nyongeza juuu ya Waha, Na Lewis Linus Willah, (E-mail address, willahlewis@yahoo.com), Kabila la Waha limetokana na mtawanyiko wa makabila ya Warundi Na Wana HayaWahaya, kipindi cha kuhamahama kwa ajili aya kutafuta masilahi kama ilevile chakula na Vitavita. Baada ya kuikakufika kandokando mwa [[ziwa TananyikaTanganyika]] na maeneo yote yanayolizunukayanayolizunguka Ziwa Tanganyika waliweza kukaa na kuanzisha shughuli mbalimbaimbalimbali kama vile kilimo, uvuvi, Ufugajiufugaji na Uwindajiuwindaji.
 
Waha walipoanza kuyazoea mazingira, walijigamba na kujidai kwa makundi ya kikoo kuwa yana nguvu, kia moja kwa nafasi yake, na kila ukoo ulijigamba kwa kutumia majina ya wanyama, wadudu, ndege milima n.k, mfano, kuna waliokuwa wakijigamba kuwa wao ni WASHUBHI ambao walijulikana kwa mnyama ambaye ni Kondoo yaani wapole, Sisimizi(Chunguchungu) Walijigamba kama Wakulima, wengine kama konoo, kiboko, n.k, na walijulikana tabia zao kulingana na majina ya ukoo wao.
Kilimo cha Waha ni Mahindi, maharage, ndizi, kahawa, mhogo, karanga, mbaazi, njegere, viazi mviino, viazi vitamu, mtama, ulezi, mahore, miwa, mpunga,korosho,n.k
 
Pia Waha ni wavuvi wa samaki katika ziwa Tanganyika, mto Malagarasi, Mto Rwiche, Mto Mkoza, Na Mito minin midogomidogo kama vile, Nyajijima, Mresi, Kazingu, n.k
Kilimo cha Waha ni Mahindi, maharage, ndizi, kahawa, mhogo, karanga, mbaazi, njegere, viazi mviino, viazi vitamu, mtama, ulezi, mahore, miwa, mpunga,korosho,n.k
Waha ni wafugaji wa N'gombe, mbuzi, kuku, bata, Nguruwe, sunura, mbwa paka, n.k,
 
Biashara zao ni Mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida. Usafiri wao wa asili ilikuwa na Miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ambayo ni yakusadikika kuwa walitumia UNGO kusafilia kama ndege yao ya asili.
Pia Waha ni wavuvi wa samaki katika ziwa Tanganyika, mto Malagarasi, Mto Rwiche, Mto Mkoza, Na Mito minin midogomidogo kama vile, Nyajijima, Mresi, Kazingu, n.k
Utamaduni wao, yaani mavazi yao ilikuwa ni magome ya miti yaliyojulikana kama MPUZU, na Nyumba zao ni za msonge, udongo na miti, kuingana na sehemu mbalimbali, mana kuna sehemu zenye joto kama vile nyanda za jini au bondeni, na sehemu zenye baridi kama vile nyanda zenye joto.
 
Waha ni wafugaji wa N'gombe, mbuzi, kuku, bata, Nguruwe, sunura, mbwa paka, n.k,
 
Biashara zao ni Mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida. Usafiri wao wa asili ilikuwa na Miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ambayo ni yakusadikika kuwa walitumia UNGO kusafilia kama ndege yao ya asili.
 
Utamaduni wao, yaani mavazi yao ilikuwa ni magome ya miti yaliyojulikana kama MPUZUmpuzu, na Nyumbanyumba zao ni za msonge, udongo na miti, kuinganakulingana na sehemu mbalimbali, mana kuna sehemu zenye joto kama vile nyanda za jini au bondeni, na sehemu zenye baridi kama vile nyanda zenye joto.