Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

304 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 176 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q967 (translate me))
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko karibu na [[Maziwa Makubwa (Afrika)|Eneo la Maziwa Kubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa kaskazini, [[Tanzania]] upande wa mashariki, na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa magharibi. Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki uko karibu na [[Ziwa Tanganyika]]. Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].
 
Burundi ni nchi ndogo iliyomo barani [[Afrika]]. Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.
 
Kwa orodha ya Marais wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Burundi|hapa]].
Anonymous user