Masiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|[[Samueli akimpaka mafuta kijana Daudi awe mfalme wa Israeli: mchoro huu wa karne ya 3 uko Dura Europo...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Samuel e david.jpg|250px|thumb|Nabii [[Samueli]] akimpaka mafuta kijana [[Daudi]] kati ya kaka zake awe [[mfalme]] wa [[Israeli]]: mchoro huu wa [[karne ya 3]] uko [[Dura Europos]], [[Syria]].]]
{{Yesu Kristo}}
'''Masiya''' (au Masiha), kutoka [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ '''mashiakh''', maana yake '''Mpakwamafuta''' ni jina la heshima ambalo [[Biblia]] inampa [[mfalme]] au [[kuhani]] aliyewekwa [[wakfu]] kwa [[Mungu]] kwa kupakwa [[mafuta]] atende kwa niaba yake kazi ya kusaidia taifa lake hasa kwa kulikomboa.<ref>{{bibleref2|Exodus|[[Kut]] 30:22-25}}</ref>
 
Tofauti na kawaida, [[Biblia]] inamtaja kama Masiha hata mfalme [[Koreshi Mkuu]] wa [[Uajemi]] kwa sababu Mungu alimtumia kutoa [[Wayahudi]] katika [[uhamisho wa Babeli]] na kuwaruhusu warudi [[Yerusalemu]] na kujenga upya [[hekalu]]<ref>[http://jewishencyclopedia.com/articles/4828-cyrus#anchor7 Jewish Encyclopedia: Cyrus: Cyrus and the Jews]: "This prophet, Cyrus, through whom were to be redeemed His chosen people, whom He would glorify before all the world, was the promised Messiah, "the Shepherd of Yhwh" (xliv. 28, xlv. 1)."</ref>
Mstari 7:
Hata hivyo kwa namna ya pekee jina hilo linatumika kwa [[Mwana wa Daudi]], mtawala wa [[Israeli]]<ref>Megillah 17b-18a, Taanit 8b</ref> katika wakati wa mwisho ambao utakuwa wa amani duniani<ref>Sotah 9a</ref>
 
==Katika Ukristo==
[[File:The Last Judgement. Jean Cousin..jpg|thumb|right|''[[Hukumu ya Mwisho]]'' kadiri ya [[Jean Cousin the Younger]] (mwisho wa [[karne ya 16]]).]]
Jina hilo lilitafsiriwa na [[Septuaginta]] kwa [[Kgiriki]] Χριστός (''Khristós'')<ref name="EOC_1">[http://www.etymonline.com/index.php?term=messiah Etymology Online]</ref> nalo lilitumiwa mapema na [[Wakristo]] kwa [[Yesu]] wa [[Nazareth]] kwa kusadiki ndiye [[mkombozi]] aliyetimiza kikamilifu kila [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]].
 
==Katika Uislamu==
[[Hadithi]] za [[Uislamu]] pia zinafundisha kwamba [[nabii Isa]], mwana wa [[Bikira Mariamu]], alikuwa ametabiriwa kama ''Masih'' (المسيح) wa Waisraeli, na kwamba atarudi duniani siku ya [[Kiyama]], pamoja na ''[[Mahdi]]'', ili kumsinda ''Masih ad-Dajjal'', yaani [[Mpingakristo]].<ref name="MC_1">{{cite web|url=http://muttaqun.com/dajjal.html |title=Muttaqun OnLine - Dajjal (The Anti-Christ): According to Quran and Sunnah |publisher=Muttaqun.com |date= |accessdate=9 November 2012}}</ref>