Masiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Samuel e david.jpg|250px|thumb|Nabii [[Samueli]] akimpaka mafuta kijana [[Daudi]] kati ya kaka zake awe [[mfalme]] wa [[Israeli]]: mchoro huu wa [[karne ya 3]] uko [[Dura Europos]], [[Syria]].]]
[[File:The Last Judgement. Jean Cousin..jpg|thumb|right|''[[Hukumu ya Mwisho]]'' kadiri ya [[Jean Cousin the Younger]] (mwisho wa [[karne ya 16]]).]]
{{Yesu Kristo}}
'''Masiya''' (au Masiha), kutoka [[Kiebrania]] מָשִׁיחַ, Māšîăḥ '''mashiakh''', maana yake '''Mpakwamafuta''' ni jina la heshima ambalo [[Biblia]] inampa [[mfalme]] au [[kuhani]] aliyewekwa [[wakfu]] kwa [[Mungu]] kwa kupakwa [[mafuta]] atende kwa niaba yake kazi ya kusaidia taifa lake hasa kwa kulikomboa.<ref>[[Kut]] 30:22-25}}</ref>
Line 8 ⟶ 9:
 
==Katika Ukristo==
Jina hilo lilitafsiriwa na [[Septuaginta]] kwa [[Kgiriki]] Χριστός (''Khristós'')<ref name="EOC_1">[http://www.etymonline.com/index.php?term=messiah Etymology Online]</ref> nalo lilitumiwa mapema na [[Wakristo]] kwa [[Yesu]] wa [[Nazareth]] kwa kusadiki ndiye [[mkombozi]] aliyetimiza kikamilifu kila [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]]. Ndiyo sababu jina lake la awali liliongezewa kwa kawaida hilo la Kristo, hivi kwamba imezoeleka kumuita [[Yesu Kristo]].
[[File:The Last Judgement. Jean Cousin..jpg|thumb|right|''[[Hukumu ya Mwisho]]'' kadiri ya [[Jean Cousin the Younger]] (mwisho wa [[karne ya 16]]).]]
 
Jina hilo lilitafsiriwa na [[Septuaginta]] kwa [[Kgiriki]] Χριστός (''Khristós'')<ref name="EOC_1">[http://www.etymonline.com/index.php?term=messiah Etymology Online]</ref> nalo lilitumiwa mapema na [[Wakristo]] kwa [[Yesu]] wa [[Nazareth]] kwa kusadiki ndiye [[mkombozi]] aliyetimiza kikamilifu kila [[utabiri]] wa ma[[nabii]] wa [[Agano la Kale]].
Kutokana na umuhimu wa [[imani]] hiyo kwa wafuasi wa Yesu, wenyewe walianza kuitwa Wakristo huko [[Antiokia]], [[mji]] wa kwanza kuwa na waumini wenye asili ya kimataifa na waliozungumza Kigiriki. Kumbe katika [[mazingira]] ya [[Kisemiti]] wanaendelea kuitwa kama awali ''Manasara'', yaani ''Wanazarethi''.
 
==Katika Uislamu==