Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 76 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5684 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ish-tar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya geti yala [[Ishtar]] yahuko Babeli]]
'''Babeli''' ilikuwaulikuwa [[mji]] wa nyakati za kale katika [[Mesopotamia]]. Maghofumuhimu yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wakwa [[Al Hillahkarne]] ([[Irak]])nyingi kando ya mtokama [[Frati]]mji 90 km kusini mwa [[Baghdadmkuu]]. Babeli ilikuwa mji muhimu wa Mesopotamia kwa karne nyingi na mji mkuu wa milki iliyotawalazilizotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]]. Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]].
 
Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]], hata kwa jina la [[Babuloni]].
Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]]. Mfalme mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
 
[[Maghofu]] yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya [[mto]] [[Frati]] 90 km kusini mwa [[Baghdad]].
Babeli ilikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya [[Ashuri]]. Kati ya [[1770 KK]] hadi [[1670 KK]] na mara ya pili kati ya [[612 KK]] na [[320 KK]] inaaminiwa ilikuwa mji mkubwa duniani.
 
==Historia==
Wakati wa Dola la Pili la Babeli mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]]. [[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]]. [[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika Biblia.
Orodha ya wafalme wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]] hivi. [[Mfalme]] mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
 
Babeli ilikuwaulikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya [[AshuriAshuru]]. Kati ya [[1770 KK]] hadi [[1670 KK]] na mara ya pili kati ya [[612 KK]] na [[320 KK]] inaaminiwainaaminika ilikuwaulikuwa mji mkubwa zaidi duniani.
Wakati ule jeshi la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalem]] mwaka [[587 KK]], kubomoa [[hekalu ya Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]]. Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
 
Wakati wa Dola la Pili la Babeli mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]] au [[Israeli]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]].
Mwaka [[539 KK]] Wajemia walivamia Dola la Babeli na kuliteka. Babeli iliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi. Baada ya ushindi wa Aleksander Mkuu juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]] ilikuwa chini ya utawala wa Wagiriki. Aleksander alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika jumba la kifalme la Nebukadreza.
 
[[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]].
Mwaka [[275 KK]] Wagiriki walijenga [[mji mkuu]] mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko [[Seleukia]]. Hii ilikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.
 
[[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika [[kitabu cha Mwanzo]] ([[Agano la Kale]]).
Mataifa ya Kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu. Kitabu cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]] kinatumia jina la Babeli kama jina la kitendawili kuashiria Roma.
 
Wakati ule jeshi la Babeli liliteka mji wa [[YerusalemYerusalemu]] mwaka [[587 KK]], kubomoa [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu yala Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]]. Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
 
Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
 
Mwaka [[539 KK]] [[Waajemi]] walivamia [[Dola la Babeli]] na kuliteka. Babeli uliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi.
 
MwakaBaada ya [[539 KKushindi]] Wajemia walivamia Dola la Babeli na kuliteka. Babeli iliendelea kuwa mji muhimu katika Dola la Uajemi. Baada ya ushindi wa Aleksander[[Aleksanda Mkuu]] juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]], ilikuwaBabeli ulikuwa chini ya utawala wa [[Wagiriki]]. AleksanderAleksanda alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika jumba la kifalme la Nebukadreza.
 
Mwaka [[275 KK]] Wagiriki walijenga [[mji mkuu]] mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko [[Seleukia]]. HiiHuo ilikuwaulikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.
 
Mataifa ya Kale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu. Kitabu[[1Pet|Barua ya kwanza ya Petro]] na kitabu cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] (kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]]) kinatumiavinatumia jina la Babeli kama jina la kitendawili kuashiria [[Roma]].
 
[[Jamii:Historia ya Iraq]]
[[Jamii:Babeli]]
[[Jamii:MjiMiji waya KaleBiblia]]
[[Jamii:Jina la kibiblia]]
[[Jamii:Nchi ya Kihistoria ya Asia]]