Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: gl:Wikipedia:Guía (citando as fontes) (missing)
alama mpya
Mstari 12:
Njia nyepesi kuonyesha chanzo cha habari ni tanbihi chini ya ukurasa. Hapa kuna alama [[Picha:Wikipedia-menyu-ref.png]] kwenye menyu ya uhariri.
 
Ukibofya hapa unapata dirisha la [[Picha:Wikipedia-menyu-ingiza marejeo.png|400px]]. <br />
Ukibofya hapa unapata ''<nowiki><ref>Insert footnote text here</ref></nowiki>''. Sasa andika chanzo badala ya maneno "Insert footnote text here".
Sasa andika chanzo au maelezo mengine katika nafasi yake chini ya maneno "Maandishi ya marejeo".
 
Bado hatua moja: chini ya makala mwishoni kabla ya interwiki andika:
:===Marejeo=== <nowiki><references/></nowiki>
na vyanzo ulivyotaja kwenye mabano au maelezo vitaorodheshwa hapo.
 
Kama chanzo chako ni tovuti fanya hivyo: