Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
Kama chanzo chako ni tovuti ya intaneti (nje ya wikipedia) fanya hivyo:
*weka '''kiungo cha nje''' kwa kuandika mabano mraba '''<big>[ ]</big>''' - mara moja tu, si mara mbili jinsi ilivyo kwa viungo kwa makala mengine ya wikipedia!. Kati ya mabano haya unaingiza anwani ya intaneti (unaweza kutaipu pia)
:<nowiki>[http://www.example.com]</nowiki> jina la kiungo]</nowiki>
*andika anwani ya tovuti kati ya mabano mraba, acha nafasi tupu 1,2 halafu ongeza maneno ya maelezo
:<nowiki>[http://www.example.com jina la kiungo </nowiki> '''Maelezo yanayoonekana''']
 
Usitaje makala mengine ya wikipedia kama chanzo lakini unaweza kunakili vyanzo kutoka huko KAMA VINAFAA.