Casper Van Dien : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Casper Van Dien
Mstari 21:
==Wasifu==
===Maisha ya awali===
Casper alikulia mjini Ridgewood, New Jersey. Mama yake ni mwalimu mstaafu wa shule za chekecha ( Kwa kiing: nursery school), na baba yake ni rubani mstaafu wa jeshi la Navy [[Marekani]]. Kuna asilimia kubwa ya familia ya Van kuwa wanajeshi. Ukiachia baba yake, babu yake alikuwa mwanajeshi wa maji wakati ule wa [[Vita kuu ya pili ya dunia]].
 
Van Dien inaonyesha kuwa chimbuko la familia yake ni m-dutchWadutch waliofika miaka mingi sana na kuishi mjini New York: kwa upande mwingine anaasili ya [[Uswidi]], [[Ufaransa]], [[Uingereza]] na Uzawa wa [[Marekani|kiamerika]]. Akiwa na umri mkubwa tu, familia yake ilirudi Florida, ambako alikuja kujiandikisha katika shule ya St. Petersburg ni moja kati ya tawi la Admiral Farragut Military Academy, hiyo ilkuwa shule ya jeshi na akahitimu cheo cha tatu katika ukomandoo.
 
==Maisha binafsi==