Tofauti kati ya marekesbisho "Maziwa"

5 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
d (Bot: Migrating 148 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8495 (translate me))
{{For|plural ya ziwa|Ziwa}}
[[Picha:Milk glass.jpg|thumb||Bilauri ya maziwa]]
[[Picha:KidGoat kid feeding on mothers milk.jpg|thumb||Mwana mbuzi anakunywa maziwa]]
 
'''Maziwa''' ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa [[mamalia]] kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida.