Mwanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1285882 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
 
*[[jina]] la [[mahali]] kama vile
 
**[[Mwanga (mji)]] ni miongoni mwa [[wilaya]] za [[mkoa wa Kilimanjaro]] ambayo ni ya pili kwa ukubwa ikitanguliwa na [[wilaya ya Same]]. Nusu ya wilaya hii ni [[tambarare]] ambapo wakazi wake ni [[kabila]] la [[Wapare]]. Inapatikana Kaskazini mwa Same na Kusini mwa [[wilaya ya Moshi Vijijini]]. [[Bwawa]] la [[Nyumba ya Mungu]] linalozalisha [[umeme]] linapatikana wilayani Mwanga. Ni moja ya wilaya zenye mafanikio makubwa katika [[sekta]] ya [[elimu]] nchini. Tangu mwaka [[1995]] hadi [[2012]] wilaya ya Mwanga imekuwa ikishika nafasi ya kwanza au ya pili kati ya wilaya saba za mkoa wa Kilimanjaro.
 
Wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro ni Same, [[Moshi Mjini]], Moshi Vijijini, [[Hai]], [[Rombo]] na [[Siha]].
 
**[[Wilaya ya Mwanga]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]]
**[[Mwanga (Iramba)]] - kata ya [[wilaya ya Iramba]], [[Tanzania]]