Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
==Viungo vya picha==
Picha au michoro huonekana katika makala kwa njia ya viungo. Ili picha ionekane lazima kwanza faili yake iwepo katika kumbukumbu ya wikipedia. Hapa kuna njia 2:
:1) kutumia akiba kubwa sana ya faili za picha huria zilizopo tayari katika kumbukumbu ya '''sw.wikipedia.org''' au '''commons.wikimedia.org''' au
:2) kupakia faili ya picha kamakutoka unakompyuta hakikayako. Kwa kupakia unaingiza picha hii katika kumbukumbu ya kwambawikipedia. hakunaKabla hakimilikiya tenakufanya auhii unasharti kibalikuhakikisha chaya mwenyekwamba una haki zaya pichakufanya vile. (tazama chini: wapi kuchukua picha za kupakiza).
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|250px|Nembo ya Tanzania 250px <br /><sup>maandishi ya kiungo chake ni <br /><nowiki>Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|250px|Nembo ya Tanzania 250px</nowiki></sup>]]
 
Mstari 11:
Kuna njia mbalimbali za kuingiza picha. Hapa sw:wikipedia tufuate mtindo wa "thumbnail" au kifupi "thumb". Umbo la "thumb" lina faida mbalimbali na kuepukana na matatizo ya picha kubwa mno.
 
Kiungo cha picha ina sehemu nne ndani ya mabano mraba zinazotenganishwa kwa alama ya "'''|'''" inaonekana hivyo:
 
<nowiki>[[Picha:JINA LA PICHA|thumb|NAMBA YA UPANApx|MAELEZO YA PICHA]] </nowiki>
Mstari 17:
:#sehemu 1 - '''JINA''': Jina la picha sharti ni sawa kabisa na jina la faili yake. Inatanguliwa na neno "'''Picha:'''". Badala ya picha programu inapokea pia "faili" au maneno ya Kiingereza "image" na "file".
:#sehemu 2 - '''THUMB''': neno hili "thumb" sharti ifuate. Maelezo haya yafaa kwa umbo hili pekee.
:#sehemu 3 - '''NAMBA + px''': namba inaonyesha upana wa picha katika makala. Namba hii kwa kawaida iwe kati ya 80px na 300px. "px" ni kifupi cha "[[pikseli]]". Usichague picha kubwa mno kwa sababu picha kubwa zinachelewesha kutokeamakala kwa makalakuonekana dirishani. HurumiaUhurumie wenzetu wenye intaneti mwenda polepole! Hapa ni vema kufanya jaribio kwa kutumia kibonye cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kabla ya kuhifadhi kabisa na hapa unaweza kucheza kidogo na kuona ipi inafaa. Mtazamaji akitaka kuona picha kubwa ataigonga tu itatokea kubwa kabisa. '''Angalizo:''' Ukiacha sehemu hii ya tatu itaonekana kwa upana sanifu ya 180px.
:#sehemu 4 '''MAELEZO''': Kama unaandika maelezo jinsi unavyopenda lakini usiandike maelezo marefu mno!
[[Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|150px|left|Nembo ya Tanzania 150px - <sup>maandishi ya kiungo chake ni <br /> <nowiki>Picha:Coat of arms of Tanzania.svg|thumb|150px|left|Nembo ya Tanzania 150px</nowiki></sup>]]