Utetezi wa Kanisa Katoliki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 17:
 
==Mbinu==
Watetezi hao na wengineo wametumia hoja za kifalsafa, za ki[[historia]] na za fani nyingine, mbali ya madondoo ya [[Biblia]], kadiri ya hoja zilizotumiwa na wapinzani, ambao pengine wanakanusha mafundisho ya Kanisa, pengine wanalaumu zaidi matendo ya wanakanisa, hasa viongozi.
 
==Maelekezo ya kisasa==
"Tunahitaji utetezi wa aina mpya, kulingana na madai ya leo, ambayo izingatie kwamba jukumu letu si kushinda hoja, bali kuokoa watu, ni kuwajibika katika mapambano ya kiroho, si katika mabishano ya nadharia, ni kutetea na kukuza Injili, si sisi wenyewe".<pre>[[Papa Yohane Paulo II]], hotuba kwa Maaskofu wa Karibi, [[7 Mei]] [[2002]]</pre>
 
==Tanbihi==