Utetezi wa Kanisa Katoliki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
==Historia==
[[File:San Ggiustino martire.jpg|thumb|left|200px|''Mt. Yustino'' katika [[picha takatifu]] ya [[Urusi]].]]
Utetezi wa Ukristo ulihitajika mapema dhidi ya hoja za [[Wayahudi]] na wengineo, hivyo unajitokeza katika [[Agano Jipya]] lenyewe, kwa mfano katika [[nyaraka]] za [[Mtume Paulo]].
 
Baadaye uliendelea katika maandishi ya [[Mababu wa Kanisa]] kama vile [[Yustino mfiadini]], [[Tertullianus]], [[Origen]] na [[Agostino wa Hippo]]. Baadhi yao walitetea Ukristo dhidi ya [[dhuluma]] za [[serikali]] ya [[Dola la Roma]] na kwa hiyo wanaitwa [[Mababu watetezi]] (wa imani]]).
 
Baadaye kazi hiyo iliendelezwa na [[walimu wa Kanisa]] wa [[Karne za Kati]], kama vile [[Anselm wa Canterbury]], [[Thoma wa Akwino]] na wengineo wa [[Teolojia ya shule]].
Line 20 ⟶ 21:
 
==Maelekezo ya kisasa==
"Tunahitaji utetezi wa aina mpya, kulingana na madai ya leo, ambayo izingatie kwamba jukumu letu si kushinda hoja, bali kuokoa watu, ni kuwajibika katika mapambano ya kiroho, si katika mabishano ya nadharia, ni kutetea na kukuza Injili, si sisi wenyewe".<preref>[[Papa Yohane Paulo II]], hotuba kwa Maaskofu wa Karibi, [[7 Mei]] [[2002]]</preref>
 
==Tanbihi==