Zama za Mwangaza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 96 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12539 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Encyclopedie frontispice full.jpg|thumb|240px|''Kama unajua kitu, ukisambaze. Kama kuna kitu ambacho hukijui, anzisha utafiti.''<div style="text-align:right;">— Kutoka toleo la mwaka [[1772]] la ''[[Encyclopédie]]''; [[Ukweli]], juu katikati, ukizungukwa na mwangaza na ukionyeshwa wazi na [[falsafa]] na [[akili]] (kulia).</div>]]
'''Zama za Mwangaza''' lilikuwa vuguvugu la kitamaduni katika [[karne ya 18]] huko Barani [[Ulaya]]. Ilikuwa na kituo chake huko nchini [[Ufaransa]] na kilikuwa kikiongozwa na wanafalsafa wawili ambao ni [[Voltaire]] na [[Denis Diderot]]. Diderot alieneza azimio hili la mwangza kwa kutumia vitabu vikubwa vya Encyclopédie, kitabu kikubwa cha kwanza cha kumbukumbu.
'''Zama za Mwangaza''' (au '''Falsafa ya mwangaza''' au '''Mwangaza''' au '''Wakati wa akili''') ni jina la vuguvugu la ki[[utamaduni]] hasa katika [[karne ya 18]] barani [[Ulaya]].
'''ZamaKituo zachake Mwangaza'''kikuu lilikuwakilikuwa vuguvugu la kitamaduni katikanchini [[karne ya 18Ufaransa]] huko Barani [[Ulaya]]. Ilikuwakikiongozwa na kituo chake huko nchini [[Ufaransawanafalsafa]] na kilikuwa kikiongozwa na wanafalsafa wawili ambao ni [[Voltaire]] na [[Denis Diderot]]. DiderotHuyo alieneza azimio hili la mwangzamwangaza kwa kutumia vitabumfululizo vikubwa vyawa [[Encyclopédie]], kitabu kikubwa cha kwanza cha kumbukumbu.
 
Azimio muhimu zaidi la mwangaza ilikuwalilikuwa ni imani ya kuamini watu kwa sababu. Watu wote wana uwezo wa kujifikira wenyewekujifikiria. Kwa hiyo, mtu hapaswi kuamini mwenyewe vitu vyakwa nguvu na madai mengine ya kimamlaka. Watu hawatakiwi hata kuamini hicho ambacho kinafundishwakinachofundishwa na kanisa[[Kanisa]] wala kile anachofundisha [[mchungaji]].

Azimio lingine ambalo muhimu ni kwamba jamii imeendelea vyema kwamba '''wanachama wake wote, wanavyeowana vyeo sawa tu, hamna ubaguzi, wanashirikiana sawa tu katika usanifu.'''
 
==Historia==
[[Tapo]] hilo la [[falsafa]] lilianza mwishoni mwa [[karne ya 17]] na kuenea katika [[karne ya 18]] katika [[Ulaya]] nzima na hatimaye [[Marekani]] likisisitiza [[akili]] na [[nafsi]] ya mtu kuliko [[mapokeo]].<ref>[["enlightenment"]]. Oxford Dictionaries. Oxford University Press, n.d. Web. 19 September 2013.</ref>
 
Lengo lilikuwa kurekebisha [[jamii]] kwa kufuata uelewa wa akili, hasa kupitia [[mbinu]] za [[sayansi]], si [[desturi]] na mafundisho ya [[imani]], hasa ya [[Kanisa Katoliki]].
 
Ilifanya wengi wapate wasiwasi kuhusu [[dini]] na wazingatie zaidi sayansi,<ref>Kors, Alan Charles. Encyclopedia of the Enlightenment. Oxford: Oxford UP, 2003. Print.</ref> ikiathiri [[historia]] yote iliyofuata hata upande wa [[siasa]].
 
Kati ya watu walioisambaza, muhimu zaidi ni [[wanafalsafa]] [[Baruch Spinoza]] ([[1632]]–[[1677]]), [[John Locke]] ([[1632]]–[[1704]]), [[Pierre Bayle]] ([[1647]]–[[1706]]), [[Voltaire]] ([[1694]]–[[1778]]) na nwanafizikia [[Isaac Newton]] ([[1643]]–[[1727]]).<ref>Sootin, Harry. "Isaac Newton." New York, Messner(1955).</ref>
 
Mara nyingi watawala waliunga mkono watu kama hao wakajaribu kutekeleza maelekezo yao kwa [[serikali]].
 
Baada ya mwaka [[1800]] watu wengi walianza kushtukia matokeo yake (hasa [[Mapinduzi ya Kifaransa]]) na kuelekea upande mwingine, ule wa [[hisia]].<ref name="Casey">{{cite web | last = Casey | first = Christopher | date = October 30, 2008 | title = "Grecian Grandeurs and the Rude Wasting of Old Time": Britain, the Elgin Marbles, and Post-Revolutionary Hellenism | work = Foundations. Volume III, Number 1 | url = http://ww2.jhu.edu/foundations/?p=8| accessdate = 2009-06-25 }}</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflist|30em}}
 
==Marejeo==
 
===Ya jumla===
* Becker, Carl L. ''The Heavenly City of the Eighteenth-Century Philosophers.'' (1932)
* [[Stephen Bronner|Bronner, Stephen]]. '' The Great Divide: The Enlightenment and its Critics''
* Burns, William. ''Science in the Enlightenment: An Encyclopædia'' (2003) 353pp
* Chisick, Harvey. ''Historical Dictionary of the Enlightenment.'' 2005. 512 pp
* Delon, Michel. ''Encyclopædia of the Enlightenment'' (2001) 1480pp
* [[Louis Dupre|Dupre, Louis]]. ''The Enlightenment & the Intellectual Foundations of Modern Culture'' 2004
* [[Peter Gay|Gay, Peter]]. ''The Enlightenment: The Rise of Modern Paganism'' (1966, 2nd ed. 1995), 952 pp; [http://www.amazon.com/dp/0393313026 excerpt and text search vol 1]; ''The Enlightenment: The Science of Freedom'', (1969 2nd ed. 1995), a highly influential study [http://www.amazon.com/dp/0393313662 excerpt and text search vol 2];
* Greensides F, Hyland P, Gomez O (ed.). ''The Enlightenment'' (2002)
* Fitzpatrick, Martin et al., eds. ''The Enlightenment World.'' (2004). 714pp; 39 essays by scholars [http://www.questia.com/PM.qst?a=o&d=107997736# online edition]
* Hazard, Paul. ''European thought in the 18th century: From Montesquieu to Lessing'' (1965)
* Humphreys, Kenneth. ''Jesus never existed'' (2005) Welcome to the enlightenment
* [[Gertrude Himmelfarb|Himmelfarb, Gertrude]]. ''The Roads to Modernity: The British, French, and American Enlightenments'' (2004) [http://www.amazon.com/Roads-Modernity-British-American-Enlightenments/dp/1400077222/ excerpt and text search]
*Israel, Jonathan. ''Democratic Enlightenment: Philosophy, Revolution, and Human Rights, 1750–1790'' (2011), 1152pp; intellectual history focused on radicalism
* Jacob, Margaret ''Enlightenment: A Brief History with Documents'' 2000
* [[Alan Charles Kors|Kors, Alan Charles]]. ''Encyclopædia of the Enlightenment'' (4 vol. 1990; 2nd ed. 2003), 1984pp [http://www.amazon.com/dp/0195104307 excerpt and text search]; also [http://www.oxfordreference.com/pub/views/home.html complete text online at www.oxfordreference.com]
* Munck, Thomas. ''Enlightenment: A Comparative Social History, 1721–1794'' England''. (1994)
* Outram, Dorinda. ''The Enlightenment''(1995) 157pp [http://www.amazon.com/dp/0521425344 excerpt and text search]
* Outram, Dorinda. ''Panorama of the Enlightenment'' (2006), emphasis on Germany; heavily illustrated
*{{citation|last=Porter|first=Roy|title=The Enlightenment|edition=2nd|year=2001|url=http://books.google.co.uk/books?id=z6C9zlVo7cAC&printsec=frontcover|accessdate=28 Jun 2012|isbn=9780333945056}}
* Reill, Peter Hanns, and Wilson, Ellen Judy. ''Encyclopædia of the Enlightenment.'' (2nd ed. 2004). 670 pp.
* Yolton, John W. et al. ''The Blackwell Companion to the Enlightenment.'' 1992. 581 pp.
 
===Ya dhati zaidi===
* Aldridge, A. Owen (ed.). ''The Ibero-American Enlightenment'' (1971).
* Andrew, Donna T. "Popular Culture and Public Debate: London 1780". ''The Historical Journal'', Vol. 39, No. 2. (June 1996), pp 405–423. [http://www.jstor.org/stable/2640187 in JSTOR]
* Brewer, Daniel. ''The Enlightenment Past: reconstructing 18th-century French thought''. (2008).
* Broadie, Alexander. ''The Scottish Enlightenment: The Historical Age of the Historical Nation'' (2007)
* Broadie, Alexander. ''The Cambridge Companion to the Scottish Enlightenment'' (2003) [http://www.amazon.com/dp/0521003237 excerpt and text search]
* Bronner, Stephen. ''Interpreting the Enlightenment: Metaphysics, Critique, and Politics'', 2004
* Brown, Stuart, ed. ''British Philosophy in the Age of Enlightenment'' (2002)
* Buchan, James. ''Crowded with Genius: The Scottish Enlightenment: Edinburgh's Moment of the Mind'' (2004) [http://www.amazon.com/dp/006055889X excerpt and text search]
* Campbell, R.S. and Skinner, A.S., (eds.) ''The Origins and Nature of the Scottish Enlightenment'', Edinburgh, 1982
* Cassirer, Ernst. ''The Philosophy of the Enlightenment.'' 1955. a highly influential study by a neoKantian philosopher [http://www.amazon.com/dp/0691019630 excerpt and text search]
* [[Roger Chartier|Chartier, Roger]]. ''The Cultural Origins of the French Revolution''. Translated by Lydia G. Cochrane. Duke University Press, 1991.
* Cowan, Brian, ''The Social Life of Coffee: The Emergence of the British Coffeehouse''. New Haven: Yale University Press, 2005
* [[Robert Darnton|Darnton, Robert]]. ''The Literary Underground of the Old Regime''. (1982).
* Edelstein, Dan. ''The Enlightenment: A Genealogy'' (University of Chicago Press; 2010) 209 pages
* Golinski, Jan. "Science in the Enlightenment, Revisited," ''History of Science'' (2011) 49#2 pp&nbsp;217–231
* Goodman, Dena. ''The Republic of Letters: A Cultural History of the French Enlightenment''. (1994).
* Hesse, Carla. ''The Other Enlightenment: How French Women Became Modern''. Princeton: Princeton University Press, 2001.
* Hankins, Thomas L. ''Science and the Enlightenment'' (1985).
* Israel, Jonathan I. ''Enlightenment Contested: Philosophy, Modernity, and the Emancipation of Man 1670–1752'' (2008)
* Israel, Jonathan. ''Radical Enlightenment: Philosophy and the Making of Modernity, 1650–1750''. (2001).
* Israel, Jonathan. ''A Revolution of the Mind - Radical Enlightenment and the Intellectual Origins of Modern Democracy''. (2009).
* May, Henry F. ''The Enlightenment in America.'' 1976. 419 pp.
* Melton, James Van Horn. ''The Rise of the Public in Enlightenment Europe''. (2001).
* Porter, Roy. ''The Creation of the Modern World: The Untold Story of the British Enlightenment.'' 2000. 608 pp. [http://www.amazon.com/dp/0393322688 excerpt and text search]
* Redkop, Benjamin. ''The Enlightenment and Community'', 1999
* Reid-Maroney, Nina. ''Philadelphia's Enlightenment, 1740–1800: Kingdom of Christ, Empire of Reason.'' 2001. 199 pp.
* Roche, Daniel. ''France in the Enlightenment''. (1998).
* Sorkin, David. ''The Religious Enlightenment: Protestants, Jews, and Catholics from London to Vienna'' (2008)
* Staloff, Darren. ''Hamilton, Adams, Jefferson: The Politics of Enlightenment and the American Founding.'' 2005. 419 pp. [http://www.amazon.com/dp/080905356X excerpt and text search]
* Till, Nicholas. ''Mozart and the Enlightenment: Truth, Virtue, and Beauty in Mozart's Operas.'' 1993. 384 pp.
* Tunstall, Kate E. ''Blindness and Enlightenment. An Essay. With a new translation of Diderot's Letter on the Blind'' (Continuum, 2011)
* Venturi, Franco. ''Utopia and Reform in the Enlightenment''. George Macaulay Trevelyan Lecture, (1971)
 
===Vyanzo vikuu===
* Broadie, Alexander, ed. ''The Scottish Enlightenment: An Anthology'' (2001) [http://www.amazon.com/dp/0862417384 excerpt and text search]
* Diderot, Denis. ''Rameau's Nephew'' and ''First Satire.' (2008).
* Diderot, Denis. "Letter on the Blind" in Tunstall, Kate E. ''Blindness and Enlightenment. An Essay. With a new translation of Diderot's Letter on the Blind'' (Continuum, 2011)
* Diderot, Denis. ''The Encyclopédie of Diderot and D'Alembert: Selected Articles'' (1969) [http://www.amazon.com/dp/0521076048 excerpt and text search]
* Gomez, Olga, et al. eds. ''The Enlightenment: A Sourcebook and Reader'' (2001) [http://www.amazon.com/dp/0415204496 excerpt and text search]
* Kramnick, Issac, ed. ''The Portable Enlightenment Reader'' (1995) [http://www.amazon.com/dp/0140245669 excerpt and text search]
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Ulaya]]
[[Jamii:Ufaransa]]
[[Jamii:Vipindi vya kihistoria]]
[[Category:Karne ya 18]]
[[Category:Falsafa]]
[[Category:Historia ya Ulaya]]
 
{{Link FA|ka}}