Mbege : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6799659 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 3:
Pombe hii hutengenezwa kwa kuchemsha ndizi mbivu kama vile [[ndizi songea]], [[ndizi uganda]],kibungara,kisukari(kama zinapatikana kwa sana) n.k. Ndizi hizo zikishachemshwa huachwa kwa kipindi cha kama tatu au zaidi ili zichache. Baada ya hapo unga wa ulezi hupikwa na kuachwa upoe. Ndizi zilizochemshwa na kuchacha huchanganywa na maji kisha kukamuliwa ili kupata juisi yake. Juisi hiyo huchanganywa na unga wa ulezi uliopikwa na tunapata (kivuo, kifue, togwa) na kuachwa usiku mzima. Kesho yake mbege huwa tayari kwa kunywewa.
pombe hii kama haitanyewa na kumalizika
Watengenezaji wengi wa pombe huwa wanaweka gamba la mti wa [[msesewe]] (Rauvolfia Caffra), hasa maeneo ya kibosho,machame na rombo ili kuongeza ladha ya uchachu na kupunguza kasi ya mbege kuchacha.
|