Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "[[Intaneti]]" au "wavuti".
 
== Viungo vya nje ==
Mstari 6:
* [http://www.w3.org/ World Wide Web Consortium (W3C)] - Shirika Linalohusika na Kanuni za Msingi za Ujenzi wa Tovuti (na mambo mengine yanayohusika na tovuti)
* [http://www.isoc.org/ The Internet Society (ISOC)]
* [http://newskenya.twomini.com/free-wordpress-blog-set-up/ WordPress Blog Setup] - Jinsi ya kuanza [[blogu]]
 
[[Jamii:Intaneti]]
[[Jamii:Habari]]