Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Pius Angelo
No edit summary
Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]]. Lugha([[Wilaya yaoya niMvomero]]) na katika [[Kiluguruwilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].
 
Waluguru ni kabila ambalo limeenea sana katika nyanda za kusini katika mkoa wa Morogoro, hasa katika wilaya ya Morogoro vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila juu. Tamaduni na mila ya Waluguruzao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya miezi ya kumi[[Oktoba]] hadi mwez wa kwanza[[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya longwe[[Longwe]], temekelo[[Temekelo]], mgata[[Mgata]], kumba[[Kumba]], singisa[[Singisa]], bwakira[[Bwakira]], kolero[[Kolero]], nyamighadu.[[Nyamighadu]] Na vinginevyo vingi ambavyo sitaweza kuvitaja kwa kimoja kimoja. Vyakula vya asil ni magimbi, matuwi, na mahimbi pamoda na muhogo ndo chakula kikuu cha waluguru.
 
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].
 
Lugha yao ni [[Kiluguru]].
 
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].