Iwiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6100903 (translate me)
No edit summary
Mstari 21:
'''Iwiji''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 13,319 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
==Marejeo==
{{marejeo}}mojakabenga@gmail.com =nimezaliwa kijiji cha Izyira kitongoji cha magole ukoo wa kabenga familia ya mzee kazimoto mwandoje kabenga=kijiji cha izyira kiko wilaya ya mbeya vijijini kata ya Iwiji kijiji hiki kanapakana na kijiji ibeza wilaya ya Ileje kusini mashariki kusini kinapakana na Wilaya Mbozi vijiji vya Hezya na kijiji cha cha namwangwa na kuendelea mpaka magharibi kijiji cha Haraka naIdiwili kaskazini kuna kijiji cha Iwiji na safu ya milima mbeye namlima makungulu iliyoambatana na msitu mag'onga msitu mbogho.misitu hii ni muhimu sanasana kwakuwa ndicho chanzo kikuu cha mito mkuu mitatu mto magole mto salaga na mto mafumbo.Mito hii ndio chanzo pekee ambayo inashilia asilimia 85 ya kilimo cha umwangiliaji wa vijiji vyote katika ukanda wa vijijivyote nilivyovitaja katika mfururizo wa vijiji vilivyopo kijijini na vijiji vyote vinavyopakana na kijiji hiki cha IZYIRA. Kijiji hiki kana kaliwa na makabila matatu tu WANYIHA WANDALI na WAMALILA Kwa asilimia kidogo.Kijiji hiki kna mila na desturi zake kikiongozwa na mila za kijadi kiongozi akiitwa mwene wa UKOO wa mwazermbe pia kuna Dini za kkristo hasa madhehebu yaliyo kwenye jumhia CCT. Kijiji hiki kina shele tatu IZYIRA SHULE MAMA iliyoanzaishwa mnamo miaka ya 1957 kwa mfumo wa shule za TAPA iliyoanza na mwalimu mzawa MWAL.WIRFRED MTINDO MWAZEMBE baadaye kuwa shule ya Msingi miaka ya karibuni zilianzishwa shle mbili kutokana na ongezeko la watu ambazo ni mwenge na shule ya msingi masewe pia wananchi katika mfumo wa kila kata kujenga shule ya sekondari kijiji kama kijijiwaqlijenga shule ya sekondari ya kijiji kwa mpango wa kijitolea pamoja na kuwa na shule ya sekondari ya kata ambayo ipo makao ya kata pale Iwiji Kijiji hiki kinahudumiwa na barabara kuu kutoka mbalizi ikipitia vijiji vifuatavyo mbalizi Izumbwe I, Mganjo,Isangati Santilya,Shipongo,Ilembo,Italazya,Shigamba,Izumbwe II,Iwiji barabara ianagawanyika kkushoto inakwenda MKAO MKUU YA WILAYA YA ILEJE -ITUMBA kulia barabara hii ndiyo inakwenda moja kwa moja IZYIRA hatimaye huendelea wilaya ya Mbozi kupitia vijiji vya HEZYA,NYIMBILI ILENGO SHUMBA HASAMBA na kuungana tena na barabara kuu ya DAR ES SALAAM mpaka Zambia pale makao mkuu ya wilaya vwawa mbozi.Cakula chao kikuu kinatokana na mazao ya chakula yaani mahindi, ndizi,viazi vitamu zao la biashara ni kahawa.
{{marejeo}}
 
{{Kata za Wilaya ya Mbeya Vijijini}}