Majilio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 62 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q83012 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|400px|thumb|Mwaka wa Kanisa kadiri ya [[kalenda ya liturujia]] ya [[Roma]] kama kielelezo cha kawaida kwa Wakristo wa magharibi.]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Majilio''' (pia: '''Adventi''') ni kipindi cha [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]] (kama vile [[Kanisa Katoliki]], ya [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]) kinatangulia [[sherehe]] ya [[Noeli]] na kuanza [[mwaka wa liturujia]]. Kinaweza kudumu kati ya siku 22 na 40.
 
Jina lake kwa [[Kilatini]] ni ''adventus'' maana yake ''ujio'' (wa [[Yesu Kristo]]), lakini jina la [[Kiswahili]] ni sahihi zaidi kwa sababu linadokeza kuwa ujio wa [[Yesu]] ni kwa ajili yetu na kuwa alikuja zamani, anakuja kila siku na atakuja kwa [[utukufu]] [[mwisho wa dunia]].