Fransis Bacon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:30, 9 Desemba 2013

Fransis Bacon (22 Januari 1561 - 9 Aprili 1626) alikuwa Mwingereza maarufu upande wa falsafa, siasa, sayansi, sheria, hotuba na uandishi.

Francis Bacon alivyochorwa na Frans Pourbus (1617),Warsaw, Polandi.

Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini[lower-alpha 1], aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa mbinu ya kisayansi wakati wa mapinduzi ya kisayansi akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.[1]

Alifariki kwa kichomi wakati wa kujaribu namna ya kutunza nyama kwa kutumia barafu.

Maandishi yake

Kati ya yale muhimu zaidi kuna:

Tazama pia

  • Cestui que (Defense and Comment on Chudleigh's Case)

Tanbihi

  1. "Home | Sweet Briar College". Psychology.sbc.edu. Iliwekwa mnamo 2013-10-21. 

Marejeo

Viungo vya nje

Kigezo:Link GA


Hitilafu ya kutaja: <ref> tags exist for a group named "lower-alpha", but no corresponding <references group="lower-alpha"/> tag was found