Tofauti kati ya marekesbisho "Fransis Bacon"

118 bytes removed ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
 
'''Fransis Bacon''' ([[22 Januari]] [[1561]] - [[9 Aprili]] [[1626]]) alikuwa [[Uingereza|Mwingereza]] maarufu upande wa [[falsafa]], [[siasa]], [[sayansi]], [[sheria]], [[hotuba]] na [[uandishi]].
 
Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini<ref group=lower-alpha>Contemporary spelling, used by Bacon himself in his letter of thanks to the king for his elevation. {{cite book|last=Birch|first=Thomas|authorlink=Thomas Birch|title=Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon|volume=6|year=1763|publisher=Andrew Millar|location=London|pages=271–2|oclc=228676038}}</ref>, aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa [[mbinu ya kisayansi]] wakati wa [[mapinduzi ya kisayansi]] akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.<ref>{{cite web|url=http://www.psychology.sbc.edu/Empiricism.htm |title=Home &#124; Sweet Briar College |publisher=Psychology.sbc.edu |date= |accessdate=2013-10-21}}</ref>
 
Alifariki kwa [[kichomi]] wakati wa kujaribu namna ya kutunza [[nyama]] kwa kutumia [[barafu]].