Tofauti kati ya marekesbisho "Kitabu cha Yuditi"

128 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 37 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q202129 (translate me))
'''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya [[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kimo katika [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Kanisa Katoliki]], la [[WaortodoksiWaorthodoksi]] wengi na la baadhi ya [[Waprotestanti]], lakini si katika [[Tanakh]] ya [[Uyahudi]] wala katika [[Biblia]] ya Waprotestanti.
 
==Habari iliyomo==
Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika [[karne ya 1 K.K.]] inahusu wakati wa mfalme [[Nebukadreza II]], na [[vita]] vyake dhidi ya [[Israeli]] ([[karne ya 6 K.K.]]).
 
Kinyume cha matarajio, [[Yudith]], ambaye jina lake linamaanisha [[mwanamke]] wa [[kabila la [[Yuda]], aliweza kupata [[ushindi]] kwa [[imani]] na [[ushujaa]] wake.
 
Habari hiyo ya ajabu ilipata [[mwangwi]] kwa wingi katika [[sanaa]] mbalimbali.
 
==Ufafanuzi==
Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya [[shetani]], hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa [[Mungu]] Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe [[Bwana]] Mungu, [[Muumba]] [[mbingu]] na [[nchi]], aliyekuongoza hata ukampiga [[kichwa]] mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].