Uhuru wa taaluma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uhuru wa taalumu''' humaanisha haki mbalimbali pamoja na wajibu wa pekee zinazostahili kupatikana kwa shughuli na maisha ya vyuo vikuu pamoja na mafundisho n...'
 
No edit summary
Mstari 26:
Nchi zinazokazia uhuru wa kitaaluma zinaachia vyuo pia mamlaka ya kujitawala katika shughuli za kutumia badjeti yake, kuteua maprofesa na na kuamua juu ya silabasi za fani mbalimbali.
 
Hata hivyo nchi nyingi zinatunza haki ya serikali kuingilia ndani ya kazi ya vyuo vikuu na kutumia taratibu mbalimbali za kuamulia kuhusu mafundisho mbalimbali, pia kuachisha kazi walimu kwa sababu za kisiasa.
 
Kanisa Katoliki iliweka utaratibu kwa vyuo vikuu vya kikatoliki katika tangazo "Sapientia Christiana" ("hekima ya kikristo") <ref>[http://www.vatican.va/holy_father/john_paul_ii/apost_constitutions/documents/hf_jp-ii_apc_15041979_sapientia-christiana_en.html Sapientia Christiana]</ref> linalokazia uhuru wa mafundisho na uchunguzi "wa kweli katika mipaka ya Neno la Mungu jinsi linavyofundishwa na [[Ualimu wa kanisa]]".
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[en:Academic freedom]]