Rosario : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q52535 (translate me)
Mstari 1:
 
[[Picha:Rosario -Argentina- 09.jpg|thumb|right|300px|Picha inayoonyesha mji wa Rosario kwa upande wa [[mto Parana]].]]
'''Rosario''' ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya [[Argentina]], takriban km 300 kutoka mji wa [[Buenos Aires]]. Ni mkuu wa [[Santa Fe Province]]. Na kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario una wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina - [[mto Parana]].
==Viungo vya nje==