Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q458412 (translate me)
Mstari 14:
==Wakazi==
Idadi ya wakazi wa mkoa wa Pwani ni 889,154. (sensa 2002 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/pwani.htm])
Mkoa huu ambao wenyeji wake ni watu wa makabila ya Wakwere,wazaramo,wandengereko na Wazaramowanyagatwa.wilaya ya rufiji imegawanyika sehemu mbili,visiwani na bara.wenyeji wa visiwani ni maarufuwa sanakabila kwala shughuliwanyagatwa zana kilimowalio bara ndiyo wandengereko, wenyeji wa visiwani wanajishulisha sana na uvuvi,kilimo cha mnazi na kupika chumvi,wandengereko wanajishughulisha sana na mazao ya vyakula kama vile mpunga,mahindi n.k. lakini pia mkoa huu ni maarufu sana kwa shughuli za kiutalii hususani katika mji wa Bagamoyo.
 
==Viungo vya nje==
* {{en}} [http://www.tanzania.go.tz/census/census/pwani.htm Matokeo ya sensa 2002 kwa ajili ya mkoa wa Pwani]