Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Wikipedia:Mwongozo (Anzisha makala)" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
+ maelezo jamii
Mstari 32:
#Mlango unaofuata katika mwongozo huu unakuelezea namna gani kupanga umbo la makala.
#Chini ya makala weka sehemu ya "Vyanzo" au "Marejeo" na chini yake orodha ya interwiki uliyokopi kutoka wikipedia ya lugha nyingine.
# Usisahau kupanga makala yako katika [[Wikipedia:Mwongozo_%28Viungo_vya_Wikipedia%29#Jamii_au_Category|jamii]] inayofaa (yaani kundi la makala zinazojumuiwa na kichwa).
#Bofya "Onyesha hakikisho la mabadiliko" na sasa unaona umbo la makala jinsi itakavyoonekana.
#Fanya masahihisho ya lazima halafu bofya "Hifadhi ukurasa".