Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q115318 (translate me)
Mstari 47:
=== Wakazi ===
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]], [[Wabena]] na [[Wandengereko]].
 
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya watawa [[Wabenedikto]] na nyingine iko [[Hanga]].
 
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] niiko katika hali mbaya.
 
== Viungo vya nje ==