Waberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Berbers.png|thumb|right|Maeneo penyeyenye wasemaji wa lugha za Kiberberi (Tamazight).]]
'''Waberberi''' ni wakazi asilia wa [[Afrika ya Kaskazini]] kuanzia [[LibyaMoroko]] hadi [[MorokoMisri]] na nchi za [[Sahara]]. Wenyewe wanajiita Amazigh (au: Imazighen) yaani "watu huru". Kabila lao linalojulikana hasa ni [[Watuareg]] wanaokalia maeneo ya jangwa kubwa la [[Sahara]].
 
Kabila lao mojawapo linalojulikana hasa ni [[Watuareg]] wanaokalia maeneo ya [[jangwa]] kubwa la Sahara.
Leo hii wamepungua kwa sababu wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu wakihesabiwa kati ya Waarabu.
 
WanaoendeleaLeo hii wamepungua kwa sababu wengi wamezoea kutumia lugha ya [[TamazightKiarabu]], (au:hivyo Kiberber)wanahesabiwa kama lughakati ya kwanza ni[[Waarabu]].
 
Wanaoendelea kutumia lugha ya [[Tamazight]] (au: [[Kiberber]]) kama lugha ya kwanza ni:
* takriban theluthi ya watu huko [[Moroko]],
* asilimia 10-15 nchini [[Algeria]],
* labda 3asilimia %3 nchini [[Libya]],
* idadi ndogo zaidi wako [[Tunisia]],
* laki kadhaa huishi katika nchi za Sahara kama [[Mali]] na [[Niger]] halafu
* wako kwa idadi ndogo [[Burkina Faso]], [[Misri]] na [[Mauritania]].
* Kutokana na [[uhamiaji]] kuna nusu milioni nchini [[Ufaransa]].
 
Katika nchi kavu jangwani au karibu na jangwa maisha yao ni ya [[ufugaji]] na kuhamahama. Mlimani walilimawanalima. Leo hii ni hasa [[Watuareg]] wanaoendelea na maisha ya kuhamahama.
 
==Historia==
Katika nchi kavu jangwani au karibu na jangwa maisha yao ni ya ufugaji na kuhamahama. Mlimani walilima. Leo hii ni hasa [[Watuareg]] wanaoendelea na maisha ya kuhamahama.
Katika [[historia]] wamejulikana tangu mwanzo wa historiailipoanza kuandikwa. [[Waroma]] na [[Wagiriki wa Kale]] waliwaita kwa majina kama Wanumidia, Wagaramanti au Walibya.
 
Kabla ya unenezaji wa [[Uislamu]] wengi walikuwa [[Wakristo]] na mashuhuri kati hao alikuwa [[Monika]], mama wa [[Agostino wa Hippo]].
Katika historia wamejulikana tangu mwanzo wa historia kuandikwa. Waroma na Wagiriki wa Kale waliwaita kwa majina kama Wanumidia, Wagaramanti au Walibya.
 
Kabla ya unenezaji wa Uislamu wengi walikuwa Wakristo na mashuhuri kati hao alikuwa [[Agostino wa Hippo]]. Mberberi anayejulikana sana leo hii ni mchezaji wa mpira [[Zinédine Zidane]].
 
== Viungo vya Njenje ==
 
* [http://web.archive.org/20040131061703/www.historycooperative.org/journals/jwh/14.4/smith.html Richard L. Smith, Ferrum College, What Happened to the Ancient Libyans? Chasing Sources across the Sahara from Herodotus to Ibn Khaldun, Journal of World History, vol. 14, no. 4, 2003 Online article]