Kihamer-Banna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kihamer-Banna''' ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahamer na Wabanna, makabila mawili a...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:59, 9 Januari 2014

Kihamer-Banna ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahamer na Wabanna, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna kiko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihamer-Banna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.