Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +def; +jamii
Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].
 
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo]], [[Mgata]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] Nana vinginevyo vingi.
 
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].
Mstari 8:
 
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].
 
{{DEFAULTSORT:Luguru}}
[[Category:Makabila ya Tanzania]]