Juan Diego : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 19 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q335539 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Juan-Diego.jpg|thumb|right|200px|Picha ya Juan Diego Cuauhtlatoatzin.]]
[[ImageFile:Virgen1531 Nuestra Señora de guadalupe1Guadalupe anagoria.jpg|right|thumb|Kadiri ya mapokeo, picha hii ya [[Bikira Maria wa Guadalupe]] ilipatikana kwa [[muujiza]] katika koti la Juan Diego, kwenye kilima cha [[Tepeyac]] karibu na [[Mexico City]] tarehe [[12 Desemba]] [[1531]].]]
'''Juan Diego Cuauhtlatoatzin''', yaani Yohane Diego Anayesema-kama-tai, ([[1474]] hivi - [[30 Mei]] [[1548]]) ni mtu wa [[Mexico]] maarufu hasa kwa kusadikiwa kwamba alitokea na [[Bikira Maria]] akiwa na sura ya [[chotara]]. Njozi hiyo ilifuatwa haraka sana na [[wongofu]] wa [[Wahindi Wekundu]] milioni 8 wa nchi hiyo ambao waliingia [[Ukristo]] kati ya mwaka [[1532]] na [[1538]].