Kizulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 72 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q10179 (translate me)
d kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
Mstari 3:
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kizulu nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 9,980,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Botswana]], [[Lesotho]], [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Uswazi]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kizulu kiko katika kundi la S40.
 
Wakati wa [[mfecane]] katika [[karne ya 19]] wasemaji wa lugha ya Kizulu zimehama hadi [[Zimbabwe]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]] ambako lugha imebadilika kiasi kuwa kwa mfano [[Kindebele]] au [[Kingoni]].
 
==Viungo vya nje==
*http://www.ethnologue.orgcom/language/show_language.asp?code=zul
 
{{mbegu-lugha}}