Osmani I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:I Osman.jpg|thumb|250px|<center>Osmani I <br> (Uchoraji mnamno mwaka 1400)]]
'''Osmani I''' ([[1258]]–[[1326]]) alikuwa mwanzilishaji wa [[Waosmani]] aliyeweka msingi kwa [[Milki ya Osmani]] iliyoendelea kwa karne sita hadi [[1922]] katika eneo la [[Uturuki]], [[Balkani]], [[Shamu]] na [[Misri]].
 
Chanzo chake ilikuwa kama chifu au mtemi wa kabila la Kiturki mpakani wa [[Ufalme wa Bizanti]] katika [[Anatolia]]. Awali utemi wake ilikuwa chini ya Waturki [[Waselchuki]] lakini baada ya uvamizi wa Wamongolia mnamo 1258 uwezo wa Waselchuki ulipungua na Osman alijitangaza kuwa [[Sultani]] wa dola huru mwaka [[1299]].