Kiwolofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 45 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34257 (translate me)
d kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
Mstari 1:
'''Kiwolofu''' ni lugha iongewayo nchini [[Senegal]], [[Gambia]], na [[Mauritania]]. Ni lugha rasmi kwa [[Wawolofu]]. Lugha hii ipo kama lugha jirani ya [[Kifula|Fula]] inayohesabiwa kati ya lugha za Kiatlantiki cha familia ya lugha za Niger-Kongo.
 
Kiwolofu ni lugha inayoongelewa sana nchini Senegal, haizungumzwi na Wawolofu tu (karibuni asilia 40 ya watu huzungumza kama [[lugha ya mama]]) bali hata Wasenegal wengine huzumgumza lugha hii. Lahaja za Kiwolofu zaweza kufanana sana kati ya nchi hizi mbili, yaani Senegal na Gambia, zikiwa sambamba kabisa kitabia na hata kuongelewa kieneo.
 
Idadi ya wasemaji kama lugha ya mama ni takriban milioni 3.2 na karibu idadi ileile hutumia Kiwolofu kama lugha ya pili.
 
Kuna lahaja mbalimbali kama vile "Dakar-Wolof". [[Dakar]] ni mji wenye watu mchanganyiko, yaani kunawaongeaji wa Kiwolofu, [[Kifaransa]], [[Kiarabu]], na hata [[Kiingereza]] huzungumzwa kidogo pia katika mji huo wa Dakar, mji ambao uko nchini Senegal.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.abibitumikasa.com/forums/wolof-language-resources/ Wolof Language Resources]
* [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=language/wol Ethnologue Site on the Wolof Language]
* [http://www.hotkey.net.au/~mjackson/Language/Wolof%20Language%20Guide.htm An Annotated Guide to Learning the Wolof Language]
* [http://www.leipoldt.com/content/wolof/common/index.html Leipoldt's Wolof Language Project (in English)]
Mstari 22:
* [http://jangawolof.wordpress.com JangaWolof.wordpress.com] (A blog about the Wolof language and culture)
 
{{DEFAULTSORT:Wolof}}
{{mbegu-lugha}}
 
{{DEFAULTSORT:Wolof}}
[[Jamii:Lugha za Kiniger-Kongo]]
[[Jamii:Lugha za Gambia]]