Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 915149 lililoandikwa na 197.250.64.193 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 6:
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
 
Ni kweli wawanji ni kabila lililo wilaya ya makete mkoa wa iringa...lakini ki ukweli kabila hili lilitakiwa liwe mkoani mbeya na katika wilaya tofauti na ya makete..hatuna mahusiano hata kidogo na watu wa iriga-makete cha zaidi tu ni ukaribu wa baadhi ya misamiati ya lugha yetu ya kiwanji.Nigependekeza moja kwa moja kabila lihamishiwe mkoani mbeya na pia liwe na jimbo lake linalotambulika kitaifa.
kabila la wawanji limetokana na mwigiliano wa makabila tofauti ya hapa tanzania, mfano WABENA, WAKINGA,WAMAGOMA,WAHEHE na mengineyo..kutokana na hadhi ya kujitambua watu wake wameamua kujipa kabila lake tofauti la kiwanji.
kwa sasa 2011 na miaka michache iliyopita kabila limejikuta linaingiliwa na watu wengi wageni kutoka maeneo tofauti na kuanzisha makazi yao hasa eneo la kijiji cha MATAMBA.
UWANJIINA MUUNGANIKO WA VIJIJI VIFUATAVYO....NHUNGU, KINYIKA, NDAPO, NGOJE, MATAMBA, MAHANJI, MPANGALA, MAGOYE,MPANGALA, MFUMBI,IKUWO, MLONDWE, MBELA, KISAULA, MASOLI, NG"ONDE na vinginevyo.....Naitwa ALBERT SOVELA mkazi wa kijiji cha Nhungu Uwanji
wawanji tumeweza, tumethubutu na tunasonga mbele
wawanji alele...mughonileee
0763640770