Argentina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 207 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q414 (translate me)
No edit summary
Mstari 53:
}}
[[Picha:Ar-map.png|thumb|left|250px|Ramani ya Argentina]]
'''ArgentinaUargentina''' ni nchi kubwa ya pili ya [[Amerika Kusini]] yenye eneo la 2,791,810 [[km²]] kati ya milima ya [[Andes]] upande wa magharibi na [[Bahari ya Atlantiki]] upande wa mashariki. Imepakana na [[Paraguay]], [[Bolivia]], [[Brazil]], [[Uruguay]] na [[Chile]].
 
Kuna madai dhidi Uingereza juu ya visiwa vya [[Falkland]] (Malvina), [[South Georgia and the South Sandwich Islands]] na sehemu ya [[Antaktika]].