Azimio la Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Azimio la Arusha''' ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza [[Tanzania]] katika njia ya [[ujamaa]] kadiri ya maelekezo hasa ya [[baba wa taifa]], [[mwalimu]] [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
Jina la azimio linatokana na [[mji]] wa [[Arusha]] lilipotolewa mwaka [[1967]].