Nadhiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Samson alikuwa ''mnadhiri'' tangu tumboni mwa mama yake.]] thumb|[[Ibada ya...'
 
No edit summary
Mstari 7:
Katika mashirika mengi, zinahesabiwa tatu ambazo zinaendana: [[useja mtakatifu]], [[ufukara]] na [[utiifu]].
 
Baadhi yanaongeza nyingine ([[nadhiri ya nne]]), k.mf. kujitoa hadi kufa kwa ajili ya [[Wakristo]] walio katika hatari ya kupoteza [[imani]] ([[Wamersedari]]), kutekeleza [[toba ya kudumu]] kwa [[Waminimi]], [[utiifu kwa Papa]] kwa [[Wajesuiti]], na [[utumishi wa walio mafukara zaidi]] kwa wafuasi wa [[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]].
 
{{mbegu-dini}}