Nadhiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Samson - Jacob Matham.jpg|thumb|[[Samson]] alikuwa ''mnadhiri'' tangu tumboni mwa [[mama]] yake.]]
[[Picha:Ewige Profess.jpg|thumb|[[Sista]] [[OSB|Mbenedikto]] akiwekwa [[nadhiri ya daima]] na kuwekwa [[wakfu]] kama [[bikira]] ([[2006]]).]]
[[Image:Nun procession ceremony.jpg|thumb|[[Ibada]] ya kuweka nadhiri katika [[monasteri]] ya maisha ya ndani tu.]]
 
'''Nadhiri''' (kwa [[Kiebrania]] '''נדר''', '''neder''') ni [[ahadi]] inayotolewa kwa [[Mungu]], kama k.mf. [[Biblia]] inavyoonyesha ([[Law]] 27; [[Amu]] 11; [[Mdo]] 21:23; 23:21).
 
Line 8 ⟶ 10:
 
Baadhi yanaongeza nyingine ([[nadhiri ya nne]]), k.mf. kujitoa hadi kufa kwa ajili ya [[Wakristo]] walio katika hatari ya kupoteza [[imani]] ([[Wamersedari]]), kutekeleza [[toba ya kudumu]] kwa [[Waminimi]], [[utiifu kwa Papa]] kwa [[Wajesuiti]], na [[utumishi wa walio mafukara zaidi]] kwa wafuasi wa [[Mama Teresa]] wa [[Kolkata]].
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/archive/hist_councils/ii_vatican_council/index_it.htm Hati [[Perfectae Caritatis]] na nyingine zote za [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] katika [[lugha]] mbalimbali kikiwemo [[Kiswahili]].]
*[http://www.vatican.va/holy_father/john_paul_ii/apost_exhortations/documents/hf_jp-ii_exh_25031984_redemptionis-donum_lt.html Hati [[Redemptionis Donum]] ya [[Papa Yohane Paulo II]] ([[1984]])]
 
{{mbegu-dini}}